JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

If you could save all the times your eyes blink in one life time and use them all at once, you would see blackness for 1.2 years!
 
Sababu ndio ile wanayosema kuwa vyuma vinatanuka kwenye joto sio?

Na nasikia wakazi wanaoishi karibu na huo mnara wa Eiffel wanalipwa hela ya usumbufu kila mwezi na serikali ya ufaransa kutokana na kelele za viwanda zinazozalishwa katika eneo hilo.
Inasemekana ndio sehemu iliyoendelea zaidi kiviwanda duniani kote.
Ndio mkuu ni kwasababu ya thermal expansion.
Ila kuhusu viwanda na wananchi kulipwa sikuwa nafahamu Hilo!🤔
 
Back
Top Bottom