JF special thread kwaajili ya Facts

Ngoma DEAR MAMA ya mkali TUPAC ilifanywa na Studio 3 ambazo ni Atlantic Records, Interscope Records na Out Da Gutta Records na Ngoma ikaachiwa 21 February 1995. Ilikuwa single kutoka Tupac’s album (Me Against the World). Kuanzia NGOMA, album na Video yake vyote vilitoka TUPAC akiwa jela kutumikia kifungo cha miala 4½ baada ya kupatikana na hatia ya kubaka! Kinachoonekana ktk VIDEO ya DEAR MAMA ni vipande vya Matukio, Media na Movies za TUPAC. Watu halisi ktk video ni Mama AFEN SHAKUR na Mrembo TRACII McGREGOR.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
The only living Mammals that lay eggs (monotreme) species: platypus, short-beaked echidna, western long-beaked echidna, and replica eastern long-beaked Echidna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…