zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Hapana jamii ya nyani wanafanya mapenzi kama starehe pia[emoji23][emoji23][emoji23]Wanaenjoy lakini hawafanyi kama starehe kama sisi binadamu wao wanachotaka pale ni kuzaliana tu
Unajua usingizi huwa una phase 2.Niliambiwa "hakuna ndoto inayozidi 60seconds yani dakika moja"....Nishatafuta ukweli wa hiyo fact nimekosa.Kama kuna anae jua hili anipe source.
[emoji23][emoji23][emoji23]noma!!!