JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

Mwanamke hata awe na akili nyingi, maarifa mengi, elimu kubwa, pesa nyingi, lakini hayawezi maisha bila mwanaume.
Na mwanaume ni kinyume chake.
 
...
_IMG_15999260924891857.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanaenjoy lakini hawafanyi kama starehe kama sisi binadamu wao wanachotaka pale ni kuzaliana tu
Hapana jamii ya nyani wanafanya mapenzi kama starehe pia
 
Niliambiwa "hakuna ndoto inayozidi 60seconds yani dakika moja"....Nishatafuta ukweli wa hiyo fact nimekosa.Kama kuna anae jua hili anipe source.
Unajua usingizi huwa una phase 2.

Phase ya 1 inaitwa NREMS (Non-Rapid Eye Movement Sleep) na phase ya 2 ni REMS (Rapid Eye Movement Sleep).

Sasa ndoto au njozi (dreams) hutokea kwenye kipindi cha REMS (Rapid Eye Movement Sleep)..

Na mara nyingi kipindi hiki cha REMS huwa ni kifupi tu!

Sasa sina uhakika na hiyo duration ya 60 seconds ila inawezekana ikawa kweli.
 
Yip Man a.k.a Ip Man (1893_1972) ndiye alikuwa Mwalimu wa kwanza kuanzisha shule ya Martial arts na kutrain wanafunzi wake publicly. Ndiye Grandmaster wa style ya 'Wing chun' aina ya mapigano anayotumia actor Donnie Yen kweny movie zake za Ip Man.
Mmoja wa wanafunzi wake maarufu akiwa Ni Bruce Lee ambaye alijiunga na shule yake akiwa na 13yrs.
images.jpg
images%20(6).jpg
 
Back
Top Bottom