JF special thread kwaajili ya Facts

Huyu mdau ndiyo maana alikuwa kilaza.
Alinyimwa kitu kimoja kikubwa sana, Mungu. Alipewa nyama nono na yenye minofu ya ajabu akanyimwa chumvi. Kwa hiyo alikuwa anakula nyama nono kila siku maisha yake yote lakini haikuwa na chumvi
 
Unajua kwamba?

Mtu aliyelala hapigi chafya. Akipiga chafya ujue yupo macho!
Watu waliondoka usiku kwenda kuiba kondoo nyumba ya jirani. Wamefika kwenye zizi kijana mmoja akabanwa kupiga chafya, akawauliza wenzake nitafanyaje nimebanwa kupiga chafya? Mwenzake mmoja akamjibu, piga tu wakisikia wenye mali watadhani ni kondoo. Kijana akapiga chafya halafu alipomaliza akaongea maneno "watadhani ni kondoo"
 
Bill Gates
"I choose lazy people to do my work because they will find the easiest way to do it"

"Nachagua watu wavivu kufanya kazi yangu kwasababu wata tafuta njia rahisi ya kuifanya"
Only if they are very intelligent, lazy but very intelligent
 
"what you believe to be true. Is it true? Or you just believe that is true because you were taught it's true and never looked any further"
Is it true tat you get burned as immediate as you catch a fire? Is this fact an experience, a belief or just a teaching of some sort from an expert in life? It's an experience
 
Niliambiwa "hakuna ndoto inayozidi 60seconds yani dakika moja"....Nishatafuta ukweli wa hiyo fact nimekosa.Kama kuna anae jua hili anipe source.
Hii siyo kweli. Kuna mashine za kurekodi ndoto kwa muda huu. Soma post namba moja kwenye uzi huu, hiyo fact ameitaja
 
Siyo kweli. Machine za kurekodi ndoto zipo sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…