Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,461
- 2,158
Duh! Madini matupu.hebu niendelee kukaa hapa hapa siti ya mbele nizidi kunyaka mafact
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misquoted or misstyped. Hakuna kitu kinaeleweka kwenye hiki ulichoandika hapaNina quotes hapa
"If you judge a fish by its ability to climb a tree it will its all life thinking its stupid"By Albert Einstein
Hii ya kuchukiwa huwa inatokea pale tu utakapoonekana una sifa ambazo tulio wengi hatuna ila huwa tunatamani sana kuwa nazo**People are hated for being real and liked for being fake**
The world is a cat playing with Australia. This implies therefore that, Australia is not part of the world
Alinyimwa kitu kimoja kikubwa sana, Mungu. Alipewa nyama nono na yenye minofu ya ajabu akanyimwa chumvi. Kwa hiyo alikuwa anakula nyama nono kila siku maisha yake yote lakini haikuwa na chumviHuyu mdau ndiyo maana alikuwa kilaza.
Watu waliondoka usiku kwenda kuiba kondoo nyumba ya jirani. Wamefika kwenye zizi kijana mmoja akabanwa kupiga chafya, akawauliza wenzake nitafanyaje nimebanwa kupiga chafya? Mwenzake mmoja akamjibu, piga tu wakisikia wenye mali watadhani ni kondoo. Kijana akapiga chafya halafu alipomaliza akaongea maneno "watadhani ni kondoo"Unajua kwamba?
Mtu aliyelala hapigi chafya. Akipiga chafya ujue yupo macho!
This therefore implies that, no one is smartest!"If you're the Smartest Person In The Room You're In The Wrong Room"
Only if they are very intelligent, lazy but very intelligentBill Gates
"I choose lazy people to do my work because they will find the easiest way to do it"
"Nachagua watu wavivu kufanya kazi yangu kwasababu wata tafuta njia rahisi ya kuifanya"
Is it true tat you get burned as immediate as you catch a fire? Is this fact an experience, a belief or just a teaching of some sort from an expert in life? It's an experience"what you believe to be true. Is it true? Or you just believe that is true because you were taught it's true and never looked any further"
This therefore implies that you will not be existing any longer, after that first diveYou can skydive without a parachute, but only once..
Hii siyo kweli. Kuna mashine za kurekodi ndoto kwa muda huu. Soma post namba moja kwenye uzi huu, hiyo fact ameitajaNiliambiwa "hakuna ndoto inayozidi 60seconds yani dakika moja"....Nishatafuta ukweli wa hiyo fact nimekosa.Kama kuna anae jua hili anipe source.
Siyo kweli. Machine za kurekodi ndoto zipo sasa hiviUnajua usingizi huwa una phase 2.
Phase ya 1 inaitwa NREMS (Non-Rapid Eye Movement Sleep) na phase ya 2 ni REMS (Rapid Eye Movement Sleep).
Sasa ndoto au njozi (dreams) hutokea kwenye kipindi cha REMS (Rapid Eye Movement Sleep)..
Na mara nyingi kipindi hiki cha REMS huwa ni kifupi tu!
Sasa sina uhakika na hiyo duration ya 60 seconds ila inawezekana ikawa kweli.
LOVE IS SO good when you know where its From
Uko sahihi Sana, love is a beautiful thingLOVE IS SO good when you know where its From