Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Watafiti wadai matumizi ya dawa za usingizi kwa wale wanasumbuliwa na tatizo la kutopata usingizi wanapolala. Dawa huathiri kumbukumbu na utendaji wa ubongo wa kawaida. Pia huongeza mawazo ya mtu kutaka kukatisha maisha yake
Kutembea kidogo baada ya kula husaidia umeng'enyaji mzuri wa chakula na kupunguza kiungulia na mtu kujihisi kutosheka na chakula. Pia hupunguza hatari ya maradhi ya moyo na kisukari.
Shahada zako ni vipande tu vya karatasi. Elimu yako inapaswa kuonekana kwenye tabia na utendaji wako.
Ikiwa unashindwa kusinzia muda mrefu baada ya kupanda kitandani: amka kitandani andaa ratiba ya utavyovifanya kesho yake, soma kitabu eg Biblia na sio hadithi za kusisimua, sikiliza muziki wa taratibu au podikasti huku ukitafakari kwa kina