Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Nilikuwa sijui hiiLeo niwape facts unayoijua kuhusu ngoma NO WOMAN NO CRY ya BOB MARLEY. Kwanza naomba tujue, Jina halisi la hii ngoma ni: NO WOMAN, NUH CRY! Jamaica neno NUH linamaanisha DON'T! Hivo Maana halisi ya hii ngoma ilikuwa: NO, WOMAN, DON'T CRY! Hapa BOB alikuwa anamhakikishia Mpenzi wk kuwa Maisha yale magumu wanayoishi uswazi (Trench Town) yatapita tu, na kwamba .."Everything will be alright and don't shed no tear".
Bob anaposema: "Government Yard in Trench Town" anazungumzia NYUMBA ZA USWAZI ZA SERIKALI walizojengewa watu Maskini kwayo Bob aliishi. Mfano wa project km hizi ni kama zile zilizokuwa MAGOMENI QUARTERS au MSIMBAZI QUARTERS!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app