JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

Ah wee ukitaka kujui huu uongo wee kaoe mwanamke ambaye kwao kuna ugonjwa wa kichaaa
Sasa mkifika hatua ya ndoa ni hatua ya kuambiana ukweli maana hata akificha utakuja kujua kwa sababu ukioa tayari wewe ni mwanafamilia na utakua unajumuika na wanafamilia kwa hiyo hata kama kuna siri utajua tu
 
Hiyo siri utakuja kujua baadae na sio ndani ya hayo masaa yaliyotajwa hapo juu.
Yeye mjinga akwambie ukweli akijua kabisa utambwaga๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
It depends lakini sioni sababu ya kuficha jambo ambalo hata baadae likigundulika litaleta madhara, ni bora ukasema mapema mtu akafanya maamuzi kuliko kupotezeana muda halafu unakuja kugundua, by the way if you trully love a woman, kuna baadhi ya family history haziwezi kuwa kikwazo
 
Wee basi wakipekee wengi hayo mambo hawataji kabisa.
Ukitaka kujua society yetu ya ajabu unakuta mtoto kazaliwa tahira basi anafichwa ndani maisha yake yote. Wenzetu kwa kiwa huyo ni mwanetu basi watajaribu kadri wawezavyo wamtoe nje nae ashangae shangae ulimwengu pamoja na utahira wake.
 
Nadhani jamii zetu hazina elimu ya kutosha kuhusu mapungufu au magonjwa ya kurithi au hata ulemavu, itachukua muda sana elimu kuwafikiwa wanajamii kwa sababu serikali haijaweka mkazo na hawa wenzetu wa ustawi wa jamii wapo busy kutafuta kazi bank
 
When Nestle refused to watch a documentary about Exploitation of african children in Cocoa Industry, the documentary director Miki Mistrati set up a giant screen next to Nestle's headquarter in Switzeland and played it there
 
Back
Top Bottom