JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

🎧🎶😴

Logopit_1619376482465.png
 
Baada ya Rais wa Malawi Bingu wa Mutharika kufariki dunia mwaka 2012 ilibidi Joyce Banda(71) Makamu awe Rais, Ajabu chama chake cha Democratic Progressive Kilimfukuza na kusema kuwa hakipo tayari Mwanamke awe Rais, Joyce Alianzisha chama chake cha People's Party.
 
Licha ya kuwa Mji wa Orania upo ndani ya Capetown Africa ya Kusini, lakini mji huu uanitegemea wenyewe kuanzia kiongozi mpaka pesa yao wanayotumia ni tofauti na Randi,Serikali ya Afrika Kusini haiingilii serikali ya Orania, ni kama Taifa jingine wanalojitegemea, wana Rais wao
 
Baada ya Rais wa Malawi Bingu wa Mutharika kufariki dunia mwaka 2012 ilibidi Joyce Banda(71) Makamu awe Rais, Ajabu chama chake cha Democratic Progressive Kilimfukuza na kusema kuwa hakipo tayari Mwanamke awe Rais, Joyce Alianzisha chama chake cha People's Party.
Dah...sasa mkuu wa majeshi nae alikuwa chama tawala nini?
 
Back
Top Bottom