JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

Arguing over text is the worst way to argue because the lack of tone decreases the meaning of the words. Talk it out in person.
 
According to scientists, antimatter is the most expensive material on Earth to make - 1 gram would cost $62.5 trillion.
 
85% of people have experienced a dream so real that they were not sure if it happened in real life or not.
 
Katika barua pepe zilizofunguliwa miezi 6 iliyopita duniani kote, 80% zilifunguliwa na vifaaa vya simu pekee.
 
Kuna bacteria wengi wanaoishi kwenye kinywa chako zaidi ya idadi wa watu wanaoishi duniani. Bacteria pia wapo kwenye ngozi yako, utumbo mpana na hata sehemu ya uke. Kwa bahati nzuri bacteria hawa hawana madhara na wapo hapo kukukinga na bacteria wabaya. Nakutakia kila la kheri
 
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa mtu kula huku akiangalia tv, simu au kompyuta.Wakati mwingine mtu anaweza kuwa anakula huku anasoma kitabu,. Tabia hii inakusababishia uzito wa mwili uliozidi(obesity) akiribatumbo
 
Wakati wa utawala wa Nazi chini ya Adolf Hitler, ujerumani ilianzisha sera ya kuua watu wote ambao walionekana ni dhaifu.Katika sera hii inasemekana watu zaidi ya laki mbili waliuawa kati ya mwaka 1940 mpaka mwaka 1945.Waliouawa walikuwa ni wagonjwa wasiopona na walemavu.
 
Back
Top Bottom