JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

Have you ever gone to sleep feeling sad or anxious, and woke up feeling in a much better mood the next morning? That is because when your brain goes into REM sleep, it releases chemicals that ease the mental pain of traumatic experiences.
 
A South African woman has broken a record in the Guinness Book of World Records by giving birth to 10 children previously held by Malian Halima Cissé, who had given birth to nine children in Morocco last month.
The 37-year-old, from Guateng, delivered the children via a C-section; she had seven boys and three girls. She had 6 year old twins, before. (12 children in total now) 🙆🏾‍♂️👏🏽
NB-Duh! Africans tunavunja marekodi mfululizo aisee! Kudos to her!
 
A South African woman has broken a record in the Guinness Book of World Records by giving birth to 10 children previously held by Malian Halima Cissé, who had given birth to nine children in Morocco last month.
The 37-year-old, from Guateng, delivered the children via a C-section; she had seven boys and three girls. She had 6 year old twins, before. (12 children in total now) [emoji2305][emoji1433]
NB-Duh! Africans tunavunja marekodi mfululizo aisee! Kudos to her!
Huyu mama sijui ana uzazi wa namna gani, 10 children ni wengi sana halafu i saw that stomach, sijui kama alikua anaweza kulala au kuhema vizuri
 
kwa miaka 2 ya kwanza ya mtoto hadi 75% ya kila mlo huenda kujenga ubongo wake? Au kuwa zaidi ya 80% ya ubongo wake huundwa ndani ya umri wa miaka 3? Hivyo kwa kila lishe, kumbato, busu, tabasamu na mchezo unamsaidia mtoto wako kujenga ubongo wake
 
Mwanamke huwa katika siku za hatari ya ujauzito; siku 5 kabla na moja baada ya yai kupevushwa kwani yai la [emoji3601] mwanamke hufa ndani ya siku 1 baada ya kupevushwa huku mbegu za [emoji3603] mwanaume huishi mpaka siku 5 baada ya kumwagwa–siku ya hatari ni mzunguko wako toa 14
 
Miaka ya Zamani Huko Samoa ilikuwa kabla ya Harusi Chifu Anamuingizia Vidole ukeni Bibi Harusi Hadharani ili kujua Kama Ni bikra au laah. Kama sio bikra hakuna ndoa. Anatangazwa mji mzima ili asifuatwe na Mwanaume mwingine kumuoa. Huko Roma ilikuwa unazikwa mzima mzima
 
Zimefanyika tafiti mbalimbali za kiafya na kugundulika kwamba asilimia kubwa ya wanaume na (wanawake,hasa kwa wanaoridhika na tendo) ambao hushiriki tendo kati ya mara 1&2(hasa mara 2) kwa wiki,wanauwezekano mdogo kupata mshituko wa moyo(heart attack) ukilinganisha na wale wanaokaa muda mrefu bila ya kushiriki tendo.Pia inaaminika kuwa tendo ni aina ya mazoezi ambayo huufanya moyo kuwa imara.

hupunguza shinikizo la damu,hupunguza mawazo na humfanya mtu kuwa na usingizi mwanana.
 
Rais wa US 1963-1969 Lyndon Johnson Alikuwa Anapenda Kuutolea Mfano Uume Wake Kuelezea Vitu. Alijinadi Kuwa ana Uume Mkubwa, Yeye ni Mwanaume, na Aliupatia Jina la 'Jumbo'. Siku Moja Alisema Kuwa Vita ya Vietnam Inaendelea Kwasababu ya Uume wake, siku moja pia alisema wanajeshi wake wafanye kazi kama Jumbo. Johnson alikuwa aina ya mtu ambaye hakupenda kuambiwa hapana, akisema amesema, alifariki January 22, 1973 (64).
 
Baada ya Mwanahisabati Robert Recorde Raia wa Uingereza Kuchoka Kuandika Neno 'Sawasawa' Kila Mara Akaamua Kubuni Alama ya (=), Ndiyo Inayotumika Mpaka Sasa Ikimaanisha Sawasawa.Huyu Ndiye Mgunduzi wa Alama ya Kujumlisha pia (+) Mwaka 1557.
 
Back
Top Bottom