BoManganese
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 980
- 2,679
- Thread starter
- #3,521
Earphones recommended, nilisikiliza hii kitu jana nakuja kustukia wimbo umesha hata sijui uliishaje, its beats are so relaxing mzuri kusukiliza wakati wa kulala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Earphones recommended, nilisikiliza hii kitu jana nakuja kustukia wimbo umesha hata sijui uliishaje, its beats are so relaxing mzuri kusukiliza wakati wa kulala.View attachment 1985779
iplay online kupitia app ya miziki inaitwa SoundCloud, hii app huwa inatoa sound nzuri sana kupita earphones hasa hasa kama huwa unasikiliza 3D and 8D audiosNgoja niidownload nisikilize leo usiku nione effect yake
Mbn mm nawezaHuwezi kulizungusha jicho/macho ukiwa umelifumba/umeyafumba.
Mbn mm naweza
Kuzungusha macho left right up downUmewezaje?
Kuzungusha macho left right up down
UongoHuwezi kulizungusha jicho/macho ukiwa umelifumba/umeyafumba.
Nineipenda hiiUnajua kwamba?
Unachukua muda mrefu kutamka neno "WWW" kuliko kutamka kirefu chake yaani "World Wide Web"
Weka picha tuone kama unawezaMbn mm naweza
Na kukojoaHii ni kweli kabisa. Inaitwa contagious yawning. Inatokea mara nyingi ikiwa kuna mtu anakuangalia na wewe ukipiga myayo na yeye atapiga tu.
Inakuwa kama umemuambukiza that’s why wameiita contagious.