Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Nasikia kuna wana JF eti wanaogopa kuonana.
Haya wana JF Tanga nakuja, ambaye haogopi kuonana na wageni basi ani PM.
Niko njiani.
NimeshakuPm, karibu Tanga
niko barabara ya 8 atii
karibu waja leo warudi leo,