JF: The only place you can meet real beautiful women

JF: The only place you can meet real beautiful women

ungeweka na picha tuwaone!,au hata ungetoa mfano kwa kuandika majina yao mbali na hapo kuna mwanamke anatafutwa humu na kwa ndele za huyu njemba sidhani kama atavuka viunzi vyake!
wanajf wanaojua kuomba wakazane na maombi😀

😀😀
 
Huo uliousema Mkuu ndio ukweli halisi wa wanawake walio wengi wanaopatikana jf na kama wapo nje ya ulichokiandika basi ni wachache.

Ila niwe mkweli kwa sifa hizi hii siku ya leo itakuwa nzuri humu jf japokuwa kuna wapingaji wanaojifanya kuwafahamu wanawake wa jf kwa hisia watakuja kubisha
The guy is agood psychologist, big up mshana jr , wakitaka mtu anapendwa JF unaweza ukaongoza kwa kura.
 
You are a good psychologist, waganga wengi wa kienyeji wana karama hii(no offense inended).
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Naona umefurahi kweli. Hebu nikumbushe nilikuambiaga we ni mrembo au mzuri?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Uliniambiaga eti sina chochote mimi....si mzuri wala si mrembo. Bora nijifariji hapa na huu uzi (japo najua mie ni kenge ktk msafara wa mamba)[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Back
Top Bottom