JF: The only place you can meet real beautiful women

ungeweka na picha tuwaone!,au hata ungetoa mfano kwa kuandika majina yao mbali na hapo kuna mwanamke anatafutwa humu na kwa ndele za huyu njemba sidhani kama atavuka viunzi vyake!
wanajf wanaojua kuomba wakazane na maombi😀

😀😀
 
The guy is agood psychologist, big up mshana jr , wakitaka mtu anapendwa JF unaweza ukaongoza kwa kura.
 
You are a good psychologist, waganga wengi wa kienyeji wana karama hii(no offense inended).
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Naona umefurahi kweli. Hebu nikumbushe nilikuambiaga we ni mrembo au mzuri?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Uliniambiaga eti sina chochote mimi....si mzuri wala si mrembo. Bora nijifariji hapa na huu uzi (japo najua mie ni kenge ktk msafara wa mamba)[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…