JF Today's birthdays: September 11

Hbd kwenu Mkuu.

Hbd kwenu,
Bwana azidi kuwabariki na kuwalinda.



VIP birthday zimeanza.
Sept to December.
Haaahaaa,
Of course Mimi ni tough man huwaga sisheherekeagi birthday.....

Ila Kwa umri wangu huu nilio uanza wa kukimbiza sungura 😊☺️😊☺️

Am greteful Kwa wazazi wangu walikuaga wanakumbuka izi siku na walibaatikaga kusoma enzi zile shule nzima wilayani au mkoa anafaulu mtu mmoja kwenda form one............ ..

Unwonderful enough nimezaliwa siku Moja na my cousin mtoto wa dada angu tunao fuatana toka ni toke...........

Pia mume wa dada angu ana rafik Ake nae tumezaliwa siku Moja so Jana niliwaalika nyumbani kwangu nikasema hii ni birthday Kwa ajili ya mtoto wa dada angu....

Tulikua na siku nzuri sana Jana mpk saa sita usiku tuli enjoy sana kuzungumza na watu wote nilio wa invite na kusikiliza music 🎡🎡🎢🎢 kula kunywa na kuenjoy......

WE ALWAYS LIVE ONCE, AND THAT ONCE IS ALWAYS ENOUGH...
 
Interesting
Mungu na azidishe furaha yenu.


Tualike na sisi Mkuu, tuje kumalizia sherehe.
 
Jf Today's Birthdays jumla ya member 33 ambao wame andika tarehe ya Leo 11/09

Happy birthday am 4 real

Kwa niaba ya wote tuliozaliwa September eleven......

Niseme,
Happy birthday to you All 🎁 πŸŽ‰πŸŽ‰
Maisha marefu na yenye heri nyingi nikutakie Mkuu 🍷
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…