Inanisikitisha kuona wana jf tunavyoogopana hivi nikwa nini??kwanini wengi wetu hatupendi kukutana??tatizo nini??kwakuwa tumekuwa wasanii kwa sana au zaidi ya hapo??
Yatakushinda Bishanga . . . .tena sana tu.Mi nataka kuonana na mtu mmoja tu arusha,basi Mama Ashrat nikaribishe basi,nasikia Baba Ashrat umempiga kibuti kisha udokozi maana hata pete zenu za harusi kaziweka pawn akalewee chang'aa.