ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nimekumbuka zama zile za kuchangia JamiiForums, nadhani Kuna haja ya kuchangia fedha ili tuweze hata tukawa tuna stream live hapa hapa jukwaaniWakati mwingine unatamani uchangie mada fulani lakini unajikuta umechoka hata ku typing tu ile unaona uzito,na Mambo yenyewe yako mengi mda mchache..Sasa napendekeza katika maboresho katika app yenu muweke hio system Kama ile ya whatsapp ukitaka kutuma mchango wako au kitu Kama comment una jirekord tu una send ili tuokoe mda.
Siungi mkono hoja.Wakati mwingine unatamani uchangie mada fulani lakini unajikuta umechoka hata ku typing tu ile unaona uzito,na Mambo yenyewe yako mengi mda mchache..Sasa napendekeza katika maboresho katika app yenu muweke hio system Kama ile ya whatsapp ukitaka kutuma mchango wako au kitu Kama comment una jirekord tu una send ili tuokoe mda.
Umenena!!Siungi mkono hoja.
Tutajaziwa voice notes za ovyoovyo, wanaotongozana, wanaotukana na wasumbufu wanaotuma voice note zisizo na chochote!!!
Ni kweli tunahitaji marekebisho lkn siyo hayo.