ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wakati mwingine unatamani uchangie mada fulani lakini unajikuta umechoka hata ku typing tu ile unaona uzito,na Mambo yenyewe yako mengi mda mchache..Sasa napendekeza katika maboresho katika app yenu muweke hio system Kama ile ya whatsapp ukitaka kutuma mchango wako au kitu Kama comment una jirekord tu una send ili tuokoe mda.