Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuliwahi kujaribu kuanzisha saccoss ikafeli katika hatua za mwisho kabisa.Salaam naomba kujuzwa,.... kama humu jf kuna/ au twaweza kuwa na VICOBA.
Namshukuruni sana.
Jaribu unaweza ndioTunaweza kujaribu tena?
kwanini sasa mli-fail kuwa na saccos? wajanja walikuwa wengi sana?tuliwahi kujaribu kuanzisha saccoss ikafeli katika hatua za mwisho kabisa.
Watu walikuwa wanakimbia vikao.kwanini sasa mli-fail kuwa na saccos? wajanja walikuwa wengi sana?