JF twaweza kuwa na VICOBA?

JF twaweza kuwa na VICOBA?

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Salaam naomba kujuzwa,.... kama humu jf kuna/ au twaweza kuwa na VICOBA.
Namshukuruni sana.
 
Litakuwa jambo la busara sana likifanikiwa.
 
Hatuwezi huku maana CCM na CHADEMA na SIMBA NA YANGA hawakai zizi moja kila kitu humu ni fake tafuta Group moja wapo la WhatsApp alafu unashauri ni wazi utafanikiwa
 
Tatizo matapeli niwengi humu.... watu wanakaa wanafikiria wizi2. ningum wew kuniamini namimi kamwe siwezi nikakuamini. wanadam hatuaminiki tena dunia ya sasa
 
Back
Top Bottom