IV. Cheti cha ndoa cha sweetlady chazua songombingo, yagundulika sehemu ya jina la mume imeandikwa kwa penseli, yasemekana huwa anafuta na kuandika tena, mwanaye agundulika kuwa na vyeti viwili vya kuzaliwa vinavyoonesha baba wawili tofauti, sio nitonye wala Nicas Mtei aliyeandikwa, Filipo atajwa....
Pole jamani!
Nini tatizo love?
Ugua pole eeeeh
kwa sasa mie nina hela bwana siwezi kuumiza kichwa isitoshe sikuu ndo hiyooo! Msimu wenu wa kupigana vikumbo.