JF Udaku: Toleo la Mwisho wa mwaka

kuna dalili zote kuwa Mr Rocky alifumaniwa maana hataki kabisa kuonekana kwenye vikao....pacha wangu Dena Amsi mfikishie salamu zangu....Mungu akijalia tar 28 nitakuwa chuga...

Heheheee sasa mbona tutakuwa Tanga kura raha tarehe hizo?
 
Last edited by a moderator:
hapo nilipoweka rangi nyekundu hapo

 
hivi Bishanga ndo mhariri mkuu wa hili jarida la makorooooooooooooooookocho aka JF udaku
 
Last edited by a moderator:
Tuko honeymoon na Paw, renewing our vows and getting close to nature. Laptop tumetupa kuleee. Kazi ni tatu tu, kupendana, kupendana na kupendana.
Mapendo! Daima!
 
ndo sababu voice of wisdom huwa navaa mask ninapokuwa maeneo ambayo udaku unapikwa, nisije nikawa heading
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…