Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Hahahahaa. Yani kwanza lazima mchekane
Haha hivi wanawake hawana multiple Id? Mara mnakutana wenyewe mnaokulanaga hehehe ila hii lazima imeshawahi kutokea sema wahusika tu waliamua kupiga kimya