JF uzi maalum wa kuvunja ukimya..

Anza wew
 
Ngoja kwanza niwatag niwapendao kwanza wewe nitakufikiria mwishoni endapo mambo hayataninyookea[emoji848]
Dadeki, ngoja nikaongee na mtani, ntahakikisha unanitag kila baada ya dakika 1.
Ila sina shaka kwa I'd nilizonazo humu lazima utanitag tu[emoji39]
 
Dadeki, ngoja nikaongee na mtani, ntahakikisha unanitag kila baada ya dakika 1.
Ila sina shaka kwa I'd nilizonazo humu lazima utanitag tu[emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23] Huyo mtani wako kazi nimemfunza mwenyewe, usipoteze muda wako bure kwani hataniweza. Wewe kama vipi nitumie muamala wa kununulia ugoro nikufikirie
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Huyo mtani wako kazi nimemfunza mwenyewe, usipoteze muda wako bure kwani hataniweza. Wewe kama vipi nitumie muamala wa kununulia ugoro nikufikirie
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiruka huo mtego wa kiroho najua wa kimbinu haukukosi (I'd moja naona imeshakukamata).
 
watani zako wana wivu sana ukiwaeleza kuwa unataka dawa ya kung'oa chombo unaweza kupewa maji ya betri
Hahaha, wanasema ukitaka kushinda vita usitoe siri zako zote, hiyo nayo ni mbinu ya kumchanganya adui, wakati anapambana na mtani mimi ntakua Ngende narekebisha mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…