JF uzi maalum wa kuvunja ukimya..

JF uzi maalum wa kuvunja ukimya..

Thread maalum kwa yoyote ambaye angependa kushow love kwa jf member mwenzetu.

Unachotakiwa kufanya ni kumtag mtu wako aje apa alafu unatupia mistari kama yote wadau wengine tutakupa sapot [emoji28][emoji28]

Akija mwambie labda kwa nini yeye au labda umeanza kufatilia kuanzia lini.kifupi msifie tuu na sera nyingine.

Unajua sio watu wote wako active PM so nimefungua huu uwanja kwa sababu hiyo.

Alafu mwisho wa siku kuna kitu wazungu wanaita secret admirer yaan mtu anakukubali sema kimyakimya yaan.so its time to open.

Kuna wadau watakula tags za kutosha that one am sure.

Jinsi ya kumtag mtu unaanza na @alafu jina lake...mfano@(Tairus)
Anza wew
 
Ngoja kwanza niwatag niwapendao kwanza wewe nitakufikiria mwishoni endapo mambo hayataninyookea[emoji848]
Dadeki, ngoja nikaongee na mtani, ntahakikisha unanitag kila baada ya dakika 1.
Ila sina shaka kwa I'd nilizonazo humu lazima utanitag tu[emoji39]
 
Dadeki, ngoja nikaongee na mtani, ntahakikisha unanitag kila baada ya dakika 1.
Ila sina shaka kwa I'd nilizonazo humu lazima utanitag tu[emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23] Huyo mtani wako kazi nimemfunza mwenyewe, usipoteze muda wako bure kwani hataniweza. Wewe kama vipi nitumie muamala wa kununulia ugoro nikufikirie
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Huyo mtani wako kazi nimemfunza mwenyewe, usipoteze muda wako bure kwani hataniweza. Wewe kama vipi nitumie muamala wa kununulia ugoro nikufikirie
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiruka huo mtego wa kiroho najua wa kimbinu haukukosi (I'd moja naona imeshakukamata).
 
watani zako wana wivu sana ukiwaeleza kuwa unataka dawa ya kung'oa chombo unaweza kupewa maji ya betri
Hahaha, wanasema ukitaka kushinda vita usitoe siri zako zote, hiyo nayo ni mbinu ya kumchanganya adui, wakati anapambana na mtani mimi ntakua Ngende narekebisha mambo.
 
Back
Top Bottom