Kama unanipenda nitag then ushushe mistari kama yote.....simple tuSijui kama nimeelewa huu uzi! Aliyeelewa anitafsirie tafadhali
Siyo lazima utajwe mkuu hahahahhahahahahaHapa ngoja nibadili avatar hii avatar ndio inaniletea gundu.
Siyo lazima utajwe mkuu hahahahhahahahaha
Hapana kwakwel mbona wengine kila uzi wanahusishwa tu why mimi[emoji848][emoji848][emoji848]
BasiHapana kwakwel mbona wengine kila uzi wanahusishwa tu why mimi[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bas mie nipo tofauti..nahis yangu mengi nijishughulishe nayo.. yaan kwa heshima na 'taazima'yenu nitawaeleza nnyie wadada kwakwel...kumtaj hapa mbn nahis km Shunie atamwendea piyemu[emoji4]
ukute show yako haikuwabamba[emoji4]!
hahhaa..hawa wakushusha mapoint mmu mara nyingi huwa players
Shoga manengelo ina maana hatuamimiani kiasi hiki?
Unajua nitashindwa kuja kunywa maji nyumbani kwako ujue....[emoji58][emoji58][emoji58]
Ila sio siri wanaume wa Siasai wako so romantic...hawa wa MMU ni cha wote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza wanaume wa kule wana pesa...[emoji39][emoji39][emoji39] na wanatingoza ki-romantic....[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] (hapa sasa)
πππππmzigua wwπππEwaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzigua ww[emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ mtaje na ww wa kwakoNasubiri umtaje dear nikamsalimie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaje na ww wa kwako
Hata wewe mboba hunitaj[emoji20][emoji20][emoji20]Ukija Uzi mwingine watakutaja tu...halafu kweli avatar yako inatishs hahahahahahaBasi
Bado nina duku duku moyonHahahaha Mkuu bado una moyo tu?
mm sitak kbs aina hyo...akuKweli vile. Mtu anaandika unadata a points zake MMU kumbe mtamaaa anavuta kuku taratibu aweke bandani. My love wangu sema nae anakupenda huku MMU sijui namtoaje. Hahahahaaa
mm sitak kbs aina hyo...aku
mie poltics tu jaman...Unataka politiksi tu eeeh? Mi jukwaa lolote awepo awe na adabu tu. Maana mi wachumba zangu huku nishamwambia.
Mtag basi shem darling. Mi mchumba angu huku nikiwaza natamani nimpigie simu. Sijamkosea ila block kanipa. Sijui show hakuielewa au kitu gani. Ngoja nitamtag hapa mnisaidie kumuulkza kwanini aniache wakati alishaanza kuniingiamie poltics tu jaman...