JF uzi maalum wa kuvunja ukimya..

JF uzi maalum wa kuvunja ukimya..

Nasubiri umtaje dear nikamsalimie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bas mie nipo tofauti..nahis yangu mengi nijishughulishe nayo.. yaan kwa heshima na 'taazima'yenu nitawaeleza nnyie wadada kwakwel...kumtaj hapa mbn nahis km Shunie atamwendea piyemu[emoji4]
 
Hapo kwenye pesa sasa ndo unaguswa
Shoga manengelo ina maana hatuamimiani kiasi hiki?
Unajua nitashindwa kuja kunywa maji nyumbani kwako ujue....[emoji58][emoji58][emoji58]

Ila sio siri wanaume wa Siasai wako so romantic...hawa wa MMU ni cha wote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza wanaume wa kule wana pesa...[emoji39][emoji39][emoji39] na wanatingoza ki-romantic....[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] (hapa sasa)
 
Kweli vile. Mtu anaandika unadata a points zake MMU kumbe mtamaaa anavuta kuku taratibu aweke bandani. My love wangu sema nae anakupenda huku MMU sijui namtoaje. Hahahahaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzigua ww[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja aniingie vizuri nimuweke wazi kwanza.
Halafu sijui ndo uzee jamani au ndo nimejifunza. Zamani kuna watu walikua wakiandika moyo unapiga kudu kudu kudu kama zotee. Siku hizi hata sioni jamani wa kuuchangamsha moyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaje na ww wa kwako
 
mie poltics tu jaman...
Mtag basi shem darling. Mi mchumba angu huku nikiwaza natamani nimpigie simu. Sijamkosea ila block kanipa. Sijui show hakuielewa au kitu gani. Ngoja nitamtag hapa mnisaidie kumuulkza kwanini aniache wakati alishaanza kuniingia
 
Back
Top Bottom