Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hahahahaa. Kuna mtu kaniambia pia eti mmoja alienda kumuuliza vipi unamjua mzigua? hapo hapo anamtongoza yeye. Mwingine oooh nasikia mzigua anagawa sana huku akajibiwa sijui. Kumbe nae alishatongoza akala cha mbavu akaenda kujiosha kule kwingine kwamba mi sio mchoyo ili atongoze.
Mwanaume unaogopa kutongoza unataka utongozwe au? Maswala ya kisu au panga butu ni wewe na uthubutu wako tu. Halafu kisu ni mtu anavyoona. Naweza sema manengelo kisu kumbe kwa mwingine atamuona wa kawaidaaa.
umemaliza mama! hv sijui yapoje!