JF uzi maalum wa kuvunja ukimya..

umemaliza mama! hv sijui yapoje!
 
Sio yakoje. Wanatongoza sana halafu hawatumii akili.

alafu hawana ht lolote...lol!.mwanaune halisia anakuja akiwa full package.. hashoboki ovyo..mm andika ya mtu tu unajua huyu ni smart..kuna mbulumundu mmoja ananichefua pm..kaja direct anataka namba..yaan kwa kasi kwel unamuulizq ya nn oh nna kazi nayo..khaa..ova pm hawez sema.. yan siku nzima had usk anaomba namba tu... na huku wanaume wenzake wanaanzaga mdg mdg... later unaombwa namba na miamala kama yot..hawaulizi ht huu ni mtqndao gan sasq hawa wengine ptu!😏😏😏😏
 
Maswali mengine buana..mimi mbona sijawahi kuukizwa au wananiogopa teh
 
Ushaambiwa kuna watu humu mission yao ni kutongoza tu, na wana id kibao. Kuna rafiki yangu humu kuna siku tunaongea tunajikuta tunamuongelea the same person ila id mbili tofauti kabisaaa. Alafu sasa huwezi kumdhania hataaaaaa.
Sio yakoje. Wanatongoza sana halafu hawatumii akili.
 
Hivyo ni vitoto vilivyoibukia jf kutokea fb, wana moto. Soma tu alafu achana nayo wala huangaiki kuijibu.
 
Si muwaombe hela wakimbie.
 
Daaaah. Hahahahaaaaa. Kumbe mshenzi kaja tongoza tu. Wanaume wako na kazi wallah.
Ushaambiwa kuna watu humu mission yao ni kutongoza tu, na wana id kibao. Kuna rafiki yangu humu kuna siku tunaongea tunajikuta tunamuongelea the same person ila id mbili tofauti kabisaaa. Alafu sasa huwezi kumdhania hataaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…