JF uzi maalum wa kuvunja ukimya..

Hali mmoja. Si mimi namjua ni bby wangu kwa ID ya KingY na wewe unamjua ni bby wako kwa ID ya Kaboom kumbe ni mtu mmoja anatukula bila sisi kujua. Nikimuona kama Kaboom namzingua kumbe ndo bby wangu mwenyewe. Hahahahaa
Haha hivi wanawake hawana multiple Id? Mara mnakutana wenyewe mnaokulanaga hehehe ila hii lazima imeshawahi kutokea sema wahusika tu waliamua kupiga kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…