JF uzi maalum wa kuvunja ukimya..

JF uzi maalum wa kuvunja ukimya..

Eeeeh anafurahia kuwaona mboga zake. Tena ukute ndo wale mnaitana mashosti jukwaani hata pm hamjawahi kuchat basi anawachoora tu.
Haya mambo jamani!!! Kwahiyo unajisikia rahaaa umewapanga mzigua na espy alafu ukiwaona jf unawachora tu!!!
 
Back
Top Bottom