Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Karibuni kwenye Jf Voucher Game ili uweze kujishindia Vocha ya shilingi Elfu moja(1000),Vocha ya buku kila Siku .
Game litakuwa linachezwa kwa Kuweka namba zote za Vocha kasoro Namba moja tu ya mwisho unatakiwa ubuni wewe ili uweze kujishindia .
itakuwa zinawekwa aina tofauti ya Vocha kila siku kati ya TIGO,VODA, Na HALOTELI Yaani kama leo itawekwa vocha ya Voda basi kesho ni tigo na siku inayofuata Ni Haloteli.
Muda wa Game ni kila siku saa kumi na mbili Kamili ya Jioni.(18:00 Pm)
Kila ikifika saa kumi na mbili kamili jioni (18:00Pm) unatakiwa kucheki Update hapa kwenye uzi ili kuanza kulicheza game.
Kutakuwa na update ya wiki nzima yaani tarehe ya game wiki ikiisha tunaanza update upya hapa kwenye Uzi.
Kama utakuwa umeshinda unatakiwa utoe taarifa ili user name yako ikae update kama mshindi wa siku Usika.
Maoni yako ni muhimu kuboresha Jf Voucher Game letu kama changes ya muda na kuongeza idadi ya mitandao ya Vocha.!
Lets start the game.
Leo tarehe 8/1/2018
Voucher VODA
Namba:56114051624190__!
Mshindi: Some one.
Update
Leo tarehe 9/1/2018
Voucher TIGO.
Namba:70906138530282__!
Mshindi:Lichard
Karibuni kwenye game.
Update
Leo tarehe 28/1/2018
Siku: jumapili.
Voucher TIGO
Namba;76963201057632__!
Mshindi:Nusuhela!
Karibuni kwenye game.
Nb:Unaruhusiwa kufadhiri game kama unataka kuchezesha niambie tu Pm utapewa Ruhusa na kutolewa update. .
Note that;
Kudhamini game na kutaka kuchezesha siku moja moja inaruhusiwa kwa member yeyote ilimladi utoe tu taarifa humu kwenye uzi.