JF Voucher Game

Kuna mtu anatafutwa apa jamaa yeye shida yake ni feeback tu, Then Atajua ID hii ndio imeingiza vocha hapo usiulize atapataje Namba yako, Kama offer siku zote ina favor sana unapaswa kuifikiria au i reject kabisa that's ma opinions, Simlazimishi mtu aniamini pia Huwezi jua pengine jamaa anatafuta Followers kwenye uzi wake then later on awahamishie kwenye blog au website
 
Mawazo yako bhana ni vinyu sana ebu fatilia thread zangu alafu uje kusema hizo nonsense zako sasa nimfatilie mtu kwa shida gani kwanza?

This a game ni kama kufurahishana tu na kukutana pamoja kumake a fun.

Ata wewe kama unavocha yako unataka kuiweka kama game unaruhusiwa tu .

Siyo lazima mshindi ajitokeze unaweza kushinda na ukakaa kimya siyo lazima ujitaje so kama unataka kucheza game we cheza lakini usije hapa kutisha watu.

Uoga wako ndio Umaskini wako not that.
 
Hii game wala haihitaji hizo complications. Kama unaona kuna mtu anatafutwa usishiriki kabisa, lakini sio unashiriki unashinda halafu unakaa kimya.

Game imepangwa mshindi anatangazwa, kama unaona huwezi hivyo vigezo, basi kuwa mtazamaji tu.
 
Mkuu ndio maña nikasema hayo ni maoni yangu, Mimi sipatani na vitu ya Bure Bure
 
Mkuu mimi sichezi hii Game nimetoa tu Maoni
 
Mkuu ndio maña nikasema hayo ni maoni yangu, Mimi sipatani na vitu ya Bure Bure
Ok sawa maoni yako nayaheshimu sana mkuu ila siyo kitu cho kutia hofu wala ni game tu nimeamua kucreat idea tofauti kabisa na Nyuzi zilizozoeleka jf .
 
Mkuu unatumia nguvu nyingi kurespond kwa hizi allegations.

Kama mtu ana wasiwasi na maisha yake hata kivuli chake ataona kinamfatilia.
 
Leo mbona hakuna zile amsha amsha za bado dakika 5, vocha ipo kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…