Leo nimekuwa wa Kwanza lazima iwe ya kwangu nimeshamuita mwenzngu lazma tuichukueLeo naibeba mimi.
Kuna Vocha nisaidie kutega mingoKuna nn?!
Vocha ya sh ngap mpk isubiriwe namna hii?!Kuna Vocha nisaidie kutega mingo
Nina Kama Biko unaweza shinda ya buku tenVocha ya sh ngap mpk isubiriwe namna hii?!
Nina Kama Biko unaweza shinda ya buku ten
Hahahhahaha umetisha
Hahahhahaha umetisha
Aitel Wanafunga fastaNimejaribu namba zote, kumbe namba 4 nikawa nimeisahau.
Nilivyokumbuka nikajua ntakuwa nimechelewa, kujaribu ikakubali.
Nachowapendea Tigo hawafungi line hata ukifanya trials 10.
Naona leo mshindi kwa mala nyingine tena ongera sana mkuuNimejaribu namba zote, kumbe namba 4 nikawa nimeisahau.
Nilivyokumbuka nikajua ntakuwa nimechelewa, kujaribu ikakubali.
Nachowapendea Tigo hawafungi line hata ukifanya trials 10.
Update
Leo Tarehe 6/1/2018
Vouche TIGO.
Namba:72027836043236__!
Mshindi:...............!
Karibuni kwenye game.
Aitel Wanafunga fasta
Wameniwahi sio kidogo Leo niliacha miwani yangu lakin huyu anajiita don clezoo nitamkomesha kesho[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2]
Muone kama umeshinda vile kumbeee wameshakuwahi wajanja wa town
Hahahahahhaha huo mchepuko ni mm kumbe ndo ulikuwa kwenye Mingo hapa eeehHalotel wamenifungia mpaka leo, na siwatafuti maana line yenyewe naitumia kwa mchepuko tu.
Sasa acha uhangaike kunitafuta mpaka hapo baadae vyuma vikilegeza.