JF Voucher Game

JF Voucher Game

Update

Leo Tarehe 6/1/2018

Vouche TIGO.
Namba:72027836043236__!
Mshindi😀on clericuzio.

Karibuni kwenye game.
 
WhatsApp Image 2018-01-06 at 12.09.01.jpeg


Acheni kuhangaika, nishachukua changu.
 
Nimejaribu namba zote, kumbe namba 4 nikawa nimeisahau.

Nilivyokumbuka nikajua ntakuwa nimechelewa, kujaribu ikakubali.

Nachowapendea Tigo hawafungi line hata ukifanya trials 10.
Naona leo mshindi kwa mala nyingine tena ongera sana mkuu
 
Update

Leo Tarehe 6/1/2018

Vouche TIGO.
Namba:72027836043236__!
Mshindi:...............!

Karibuni kwenye game.

Edit kwenye mshindi hapo mkuu, kama kawaida mshindi wa Tigo.

Nasubiri nipige hat trick niwaachie mchezo vijana.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2]
Muone kama umeshinda vile kumbeee wameshakuwahi wajanja wa town
Wameniwahi sio kidogo Leo niliacha miwani yangu lakin huyu anajiita don clezoo nitamkomesha kesho
 
Back
Top Bottom