JF Voucher Game

Naona majobless wanaongezeka kwa kasi ya ajabu Tanzania

Ajira hakuna, uhakiki hauishi, tunatumbuana kila siku.

Biashara ngumu, matajiri nao wamepunguza wasaidizi wa kazi, watu wamepunguza kujenga tungefanya saidia fundi.

Airport ziko tight unga ni ngumu kuaafirisha.

Mabenki yananyanganywa leseni, ina maana wafanyakazi lazima wapigwe chini.

Nyie matajiri, mapededjee wenyewe hamtoi zile tip mlizokuwa mnatoa tukiwaimba kwenye nyimbo.

Tumeambiwa hii ni awamu ya viwanda ajira zitakuwa za kumwaga, miaka mitatu inaenda, kuulizia viwanda mbona hatuvioni? Mnatujibu eti tununue cherehani nne ndo viwanda.

Sasa tufanyaje kama siyo kugombea buku za hisani?

Si haba nikiipata buku inanisogeza siku kwa kununua bando.
 
0713800880 namba hiyo mkuu, ukimtumia hata buku nitafurahi sana,ila nakushauri hizo pesa za kutuma kwa watu wengine ungezifanya hata mtaji ili uondoke hapo kwa shemeji yako unapokaa ukajitegemee.
Anayekaa kwa shemeji ni yule anayevizia vocha za bure mitandaoni.. kuwa makini wasije kukufumua na hayo marinda
 
Update.

Leo tarehe 7/1/2018 ni jumapili ya kwanza kwa mwaka.

Voucher HALOTEL
Namba:174898772058__!
Mshindi:Runna


KARIBUNI SANA KWENYE GAME.

NOTE:Leo saa moja kamili usiku(19:00 Pm) kutakuwa na bonasi Get ready.:

Karibuni kwenye Game.
 
Kabisaaa Hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…