Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Uko wapiii mida ya kubetAsante sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wapiii mida ya kubetAsante sana.
Leo mtandao gani[emoji23]Njoo utege mingooo
Kuna raia kaniwahi
Leo nahisi halotelLeo mtandao gani[emoji23]
SawaLeo nahisi halotel
Uko wapiii mida ya kubet
Sawa mwenye kazi,tuwekee vocha basiNaona majobless wanaongezeka kwa kasi ya ajabu Tanzania
Naona majobless wanaongezeka kwa kasi ya ajabu Tanzania
Leta namba ya mama yako kijijini nimtumieSawa mwenye kazi,tuwekee vocha basi
Leta namba ya mama yako kijijini nimtumie
0713800880 namba hiyo mkuu, ukimtumia hata buku nitafurahi sana,ila nakushauri hizo pesa za kutuma kwa watu wengine ungezifanya hata mtaji ili uondoke hapo kwa shemeji yako unapokaa ukajitegemee.Leta namba ya mama yako kijijini nimtumie
Anayekaa kwa shemeji ni yule anayevizia vocha za bure mitandaoni.. kuwa makini wasije kukufumua na hayo marinda0713800880 namba hiyo mkuu, ukimtumia hata buku nitafurahi sana,ila nakushauri hizo pesa za kutuma kwa watu wengine ungezifanya hata mtaji ili uondoke hapo kwa shemeji yako unapokaa ukajitegemee.
Sawa mkuu,asante kwa ushauri.Anayekaa kwa shemeji ni yule anayevizia vocha za bure mitandaoni.. kuwa makini wasije kukufumua na hayo marinda
Wivu unaniambia huyo Achana nayeSawa mwenye kazi,tuwekee vocha basi
Kabisaaa Hakuna namnaAjira hakuna, uhakiki hauishi, tunatumbuana kila siku.
Biashara ngumu, matajiri nao wamepunguza wasaidizi wa kazi, watu wamepunguza kujenga tungefanya saidia fundi.
Airport ziko tight unga ni ngumu kuaafirisha.
Mabenki yananyanganywa leseni, ina maana wafanyakazi lazima wapigwe chini.
Nyie matajiri, mapededjee wenyewe hamtoi zile tip mlizokuwa mnatoa tukiwaimba kwenye nyimbo.
Tumeambiwa hii ni awamu ya viwanda ajira zitakuwa za kumwaga, miaka mitatu inaenda, kuulizia viwanda mbona hatuvioni? Mnatujibu eti tununue cherehani nne ndo viwanda.
Sasa tufanyaje kama siyo kugombea buku za hisani?
Si haba nikiipata buku inanisogeza siku kwa kununua bando.
Achana naye huyo usikute Hana mbele wala nyuma na yy anatega Mingo kimya kimyaaSawa mkuu,asante kwa ushauri.
Acha sisi tusio na kazi tuokote vocha mtandaoni.