JF Voucher Game

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Itabidi izo vocher uwe una nipa mimi kwanza nizikague kama ni orginal ..nkisha zijaza kweny simu yang zika ingia nd unazileta umu sawa
 
Hii habari njema kwangu, wapinzani sahauni kula tena
 
Mkuu nataka nichangie 6,000 vocha ya Jumanne mpaka Jumapili, nipe utaratibu.
Utaratibu ni wewe kunipa taarifa pm kama hiyo siku utaweka vocha then unachezesha kama ninavyochezeshaga mimi muda wa game ukifika na mimi nakuwa mshiriki wa game namba ya mwisho ya game inakuwa siri yako wewe mchezeshaji.
 
Hahaha, mi nilitaka nikutumie uchezeshe mwenyewe mkuu.

Maana naweza nisiwe ontime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…