Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Nitumie mm Cha urohoooo Hahahahahhaha nitakuwa nashinda mwenyewe najikausha
Haya utakuwa unanichombeza ka namba ka mwishoMi mwenyewe ntakuwa sichezi
Haya utakuwa unanichombeza ka namba ka mwisho
Nimefurahi sana mkuu .... Uwepo wa watu kama nyie jf ni furaha kuuOngera sana mkuu umejisikiaje kwa ushindi wa leo.
JamanASANTE MKUU 70906138530282--9
MSHINDI NI MIMI LEO
Asante mkuuSawa mkuu karibu tena kesho kwenye game
NimechelewaaaaNini sasa
AsantePole sana wangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Njoo Pm yetu ileeee