Mm nilianza na 0,2,7 kurud 6 ndo ukachukua ww
Naona mchezo huu unamtafuta mtu ili wajue real ID yake....
Kuna mtu anasakwa humu
Sasa unatafutwaje na wakati inawekwa Vocha na unaingiza mwenyewe ingekuwa kwamba unatuma namba unarushiwa Vocha hapo sawa.Naona mchezo huu unamtafuta mtu ili wajue real ID yake....
Kuna mtu anasakwa humu
ila leo si umeshinda mkuu
Ongera sana
sisemi wala simuungi mkono kuwa huu mchezo unamtafuta mtu humu ila kama anatafutwa mtu kweli humu kupatikana ni rahisi sana.....they trak that voucher no to its card code then wakihusika na mtandao unaotoa hyo voucher namba iliyotumia voucher inaonekana kwenye system[emoji1]Sasa unatafutwaje na wakati inawekwa Vocha na unaingiza mwenyewe ingekuwa kwamba unatuma namba unarushiwa Vocha hapo sawa.
Kwani ukiweka vocha ya duka kuna id yeyote.
Saw mkuu but just a game tu.sisemi wala simuungi mkono kuwa huu mchezo unamtafuta mtu humu ila kama anatafutwa mtu kweli humu kupatikana ni rahisi sana.....they trak that voucher no to its card code then wakihusika na mtandao unaotoa hyo voucher namba iliyotumia voucher inaonekana kwenye system[emoji1]
ila mm sisemi kama anatafutwa mtu humu...its just a game, mm mtazamaji tu japo nilipenda kushiriki.[emoji38]
niwatakie ushindi mwema wachezaji [emoji125][emoji125][emoji125][emoji38][emoji38][emoji38]
sure, i love your idea though![emoji4]Saw mkuu but just a game tu.