JF Voucher Game

JF Voucher Game

Naona mchezo huu unamtafuta mtu ili wajue real ID yake....

Kuna mtu anasakwa humu
Sasa unatafutwaje na wakati inawekwa Vocha na unaingiza mwenyewe ingekuwa kwamba unatuma namba unarushiwa Vocha hapo sawa.

Kwani ukiweka vocha ya duka kuna id yeyote.
 
sisemi wala simuungi mkono kuwa huu mchezo unamtafuta mtu humu ila kama anatafutwa mtu kweli humu kupatikana ni rahisi sana.....they trak that voucher no to its card code then wakihusika na mtandao unaotoa hyo voucher namba iliyotumia voucher inaonekana kwenye system[emoji1]

ila mm sisemi kama anatafutwa mtu humu...its just a game, mm mtazamaji tu japo nilipenda kushiriki.[emoji38]

niwatakie ushindi mwema wachezaji [emoji125][emoji125][emoji125][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Saw mkuu but just a game tu.
 
Update .

ikifika saa 12 kamili ya leo tunaendelea na Game Get ready my Subcriber for the Game.
 
Back
Top Bottom