Ulikuwa umetega mingoVoucher haipo ww ni mwongo mkuu...
Nakutumia kama Vocha umalizie namba ya mwisho
068849....Sawa
068849....
Ifateee tu mbn imeshafikaMalizia pm.
Nimepokea samahani kadi hii haipo
Mwenye namba inayoishia na 51 Mungu anakuona, umekula mda mrefu mi nakusubiria ujitokeze tu.
Au unataka namba zetu zifungiwe.
Picha ya Vocha yenyewe ni hii kasoro namba moja ya mwisho nimeikata.
Pray the game mpaka mshindi apatikane.
Mwenye namba inayoishia na 51 Mungu anakuona, umekula mda mrefu mi nakusubiria ujitokeze tu.
Au unataka namba zetu zifungiwe.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mwenye namba inayoishia na 51 Mungu anakuona, umekula mda mrefu mi nakusubiria ujitokeze tu.
Au unataka namba zetu zifungiwe.
Unatakiwa ku-guess tarakimu moja ya mwisho.
Ndo mchezo ulivyo.
Duh baasi na leo nimeikosa vocha
3 mkuuHa ha ha, ukute ni guest user, namba ya mwisho ni ngapi?
3 mkuu