Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Karibu ata kutazama tu
Kutazama lazima, na kumpa hongera mshindi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu ata kutazama tu
Sawa mkuu
Usitangaze dada, mimi leo nimeipata ya Tigo mchana.
Hii post nimechelewa kuiona.
Halafu majamaa kumbe hayajanifungulia.
Wanaifunga kwa muda gani? Maana lain nyingine ukijaribu mara tatu wanaifunga kwa masaa kama mawili hivi
Mimi waliniambia wanaifunga kwa 3 hours, sasa leo nilivyoona hii nikataka kucheza nikakuta bado imefungwa.
Huwa siitumii sana ndo maana sikushtuka.
Ndio Nasubiri mshindi Ajitokeze
Pole mkuu. Ntajaribu kesho,leo nimechelewa. Nikifungiwa lawama kwa mleta uzi hahahaha
Mimi nimemsamehe baada ya kula leo mchana.