Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Njoo pm nikupe tulonge mkuuu
Sitaki majaribu, nimeshasema hii January sitaki kabisa majaribu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo pm nikupe tulonge mkuuu
Wala sikuombi helaaa mmSitaki majaribu, nimeshasema hii January sitaki kabisa majaribu.
[emoji50] [emoji50] [emoji50] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] bas mie simo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hapa mtakuwa mmeua siyo kucheza game tu hiyo itakuwa plan ya kuliujumu game na kesi yake haina dhamana kwa vifungu vya Jf 22 ya mwaka 2018 .
Wala sikuombi helaaa mm
Hii inaitwa ja_nuar_y mzizi wa neno ni Nuar .
Ukijilengesha tu himooooo
Mm nakaa nyumba ya urithi Sna shida na pango mm ndo napokea pesaa za pango so kuwa huruLipeni ada na pango kwanza, tutatafutana kwenye zawadi za Valentine, chocolate, maua na kadi.
Mm nakaa nyumba ya urithi Sna shida na pango mm ndo napokea pesaa za pango so kuwa huru
Ngj nikuache tutaonana FebruarySawa, ila January huwa sina nguvu kabisa...
Ngj nikuache tutaonana February
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ulijuaje juzi watulamba laki 2 sjui bomba liliktika likamwaga maji tulikomajeNyumba ya Urithi tena kunaga kulipia bili ya umeme na maji alafu bili yake inakuaga siyo ya kitoto na malimbikizo ya bili za huko nyuma.
Nipo njiani kuna foleni nakujaUkuje huku Pm mamy
Njoo utege mingooo[emoji26][emoji26][emoji26] toka juzi nakosa, kesho najua sipati j3 nizamu yangu