Biobenga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 394
- 533
Hahahh, ID yangu moja tu. Nimeona kimya kutoka wa zero IQ ndio maana, ilitakiwa kuwa saa moja kamili.Mmh una ID ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahh, ID yangu moja tu. Nimeona kimya kutoka wa zero IQ ndio maana, ilitakiwa kuwa saa moja kamili.Mmh una ID ngapi?
Hahahh, ID yangu moja tu. Nimeona kimya kutoka wa zero IQ ndio maana, ilitakiwa kuwa saa moja kamili.
Sikujua kama alisema mtandao ni suprize.Mbona alisema.suprise ila wewe umetaja mitandao kabisa aiseee sina mkojo wa kupima mie
Kama ndio hivyo inabidi niingize mwenyewe vocha zangu, kama kuna mtu kaniwahi basi.Kuna mtu anatafutwa hapa omba usiwe wewe
Mshindi tayari au, bado??Tigo: 52522431418699_
Voda: 53697188954859_
Update:
Baada ya kuona watu wana wasiwasi nimeingiza mwenyewe vocha ya Tigo. Ya voda kuna mtu amefanikiwa, hongera zake.
Washindi tayari, Tigo nimeshinda mwenyewe, Voda kuna mtu kaniwahi.Mshindi tayari au, bado??
Tigo ilikua ngapiWashindi tayari, Tigo nimeshinda mwenyewe, Voda kuna mtu kaniwahi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]huu uzi lazma ufunge Mwaka Kwa tuzo mm nitakuwa naweka bonus saa 8 usikuWashindi tayari, Tigo nimeshinda mwenyewe, Voda kuna mtu kaniwahi.
0Tigo ilikua ngapi
Hahah, saa 8 usiku utakua unashinda mwenyewe. Halafu kuna watu wameshaeneza woga humu wengine wanaogopa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]huu uzi lazma ufunge Mwaka Kwa tuzo mm nitakuwa naweka bonus saa 8 usiku
Daah hiyo huwezi kufikilia kabsa
Acha Ujinga wewe boya kama unataka jiingizie mwenyewe si umezoea kuingiziwa vochaKama ndio hivyo inabidi niingize mwenyewe vocha zangu, kama kuna mtu kaniwahi basi.
Hivi mnafanya vitu gani humu JF mpaka mnakua na wasiwasi kiasi hiko. Na kama kuna kitu umefanya cha kufanya utafutwe utakua mpumbavu kukamatwa kwa ajili ya vocha ya buku.
Hahahahahhaha na wachawi tutakuwa tunacheza gameHahah, saa 8 usiku utakua unashinda mwenyewe. Halafu kuna watu wameshaeneza woga humu wengine wanaogopa.
hahaha[emoji23][emoji28][emoji23]Achana naye huyo usikute Hana mbele wala nyuma na yy anatega Mingo kimya kimyaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwikwihahaha[emoji23][emoji28][emoji23]
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]Mbona alisema.suprise ila wewe umetaja mitandao kabisa aiseee sina mkojo wa kupima mie