JF Voucher Game

JF Voucher Game

Update stay tuned saa 3 kamili usiku tunalicheza game
 
Mchezo unachezwa saa 6 mchana? Saa sita ni muda wa kuingia mitandaoni kutafuta vocha za bure? Alafu mnalalamikia efficiency ya serikali yenu, kwahiyo wewe unaweza kuacha kutoa huduma/kufanya kazi ya kuzalisha mali alafu ukaingia mtandaoni kuvizia vocha ya bure?

BTW kuweni makini, system works here, kuna watu wanawindwa humu JF.. Jiwekeeni hizo vocha za bure tu mkikamatwa siku ndio mtajua..
Mkuu usisambaze uongo wako soma thread zangu zote za humu alafu utajua mimi ni nani?
 
Kama ndio hivyo inabidi niingize mwenyewe vocha zangu, kama kuna mtu kaniwahi basi.

Hivi mnafanya vitu gani humu JF mpaka mnakua na wasiwasi kiasi hiko. Na kama kuna kitu umefanya cha kufanya utafutwe utakua mpumbavu kukamatwa kwa ajili ya vocha ya buku.
Mkuu huyu anatisha tu hakuna cha kuogopa
 
Baba taratibu Mwaka usje ukaisha pagale letu La Kikuyu hatujamalizia
Usijari mamy hiyo ni bonus niliyoisemea itakuja jioni useme nilikuwa studio na nilichelewa kutoka ndio natoka now
 
Back
Top Bottom