Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe na kudhamin kunaruhusiwa [emoji106]Mkuu nikushauri game tuifanye saa 2 au 3 usiku ili wale tunaokuwa na pilika pilika za usafiri tupate fursa pia.
Halafu naomba vocha za Jumanne -
Jumapili nizidhamini.
Kumbe na kudhamin kunaruhusiwa [emoji106]
Ahaaa apo sawa[emoji4]Huu ni mchezo mkuu, kudhamini kunaruhusiwa.
Unamtumia jamaa PM halafu ana-update kulingana na muda.
Mdhamini haruhusiwi kucheza game aliyodhamini.
Kweli kabisa, tena mkimbizi wa fb mm naenjoy sanaJF sehemu nzuri ya kuondoa stress
Hii habari njema kwangu, wapinzani sahauni kula tenaUpdate
Leo tarehe 8/1/2018
Voucher VODA
Namba:56114051624190__!
Mshindi:___________!
Karibuni sana kwenye Game.
Note: kuanzia kesho Game litakuwa linachezwa saa kumi na mbili (18:00) kamili jioni hiyo ni kwa sababu likizo litakuwa limeisha na watu wengi watakuwa makazini muda wa mchana.
Maribu kesho kwenye game mkuu
[emoji44][emoji44] mtandao ganiMkuu nataka nichangie 6,000 vocha ya Jumanne mpaka Jumapili, nipe utaratibu.
[emoji44][emoji44] mtandao gani
Utaratibu ni wewe kunipa taarifa pm kama hiyo siku utaweka vocha then unachezesha kama ninavyochezeshaga mimi muda wa game ukifika na mimi nakuwa mshiriki wa game namba ya mwisho ya game inakuwa siri yako wewe mchezeshaji.Mkuu nataka nichangie 6,000 vocha ya Jumanne mpaka Jumapili, nipe utaratibu.
Utaratibu ni wewe kunipa taarifa pm kama hiyo siku utaweka vocha then unachezesha kama ninavyochezeshaga mimi muda wa game ukifika na mimi nakuwa mshiriki wa game namba ya mwisho ya game inakuwa siri yako wewe mchezeshaji.
Sawa mkuu ni vizuri pia unanitumia Namba za Vocha Pm muda ukifika mi Nachezesha Game
Nakuaminia kibosho Tena hamuachi hata sentiHii habari njema kwangu, wapinzani sahauni kula tena
Jaman uwe unanichombeza pm nipate kavocha pliiiiziMkuu nataka nichangie 6,000 vocha ya Jumanne mpaka Jumapili, nipe utaratibu.
Nitumie mm Cha urohoooo Hahahahahhaha nitakuwa nashinda mwenyewe najikaushaHahaha, mi nilitaka nikutumie uchezeshe mwenyewe mkuu.
Maana naweza nisiwe ontime.