Jf/wadada kwa wakaka nipo chini ya miguu yenu naomba msaada

Pole ndugu!ila hiyo ndio faida ya nyie wapenda bikira za bandia utadhan na nyie mnazo!uamuzi unao mwenyewe,uckilize moyo wako then fanya maamuzi!
 
Ni kweli anae penda haoni lakini huyo c demu wa kuoa kumbuka ndoa sio bahati nasibu
 
Ee bwanaa nawashukuruni kwa ushauri wenu,ngoja nfanyie kazi yale ntakayoyaona yanafaa,
 
Piga chini ,samaha wa nini wakati muda wote alikuwa anakuchezea akili huyo asikuchanganye na si ajabu hana cha ubikira ana interests zake kwako na hata ukimuoa si ajabu akaendelea naye kimya kimya. Kwakuwa ushaujua mwanzi mwisho hautakusumbua

kweli kaka pamoja, kwa sbb awa watu awaaminiki kaka.
 

pamoja mkuu,awa watu wanapasua kichwa sana mkuu
 
da kweli kabisa mama,ila na nyie mmezidi kutuchanganya jamani.
 
Alafu michelle,, mzima ww,,umeshatoka shule,?
 
Sasa unataka msaada gani?
Kama hujali msamehe muendelee, kama unajali mwambie aende kwa huyo jamaa mwingine.

kuna biashara ya kusamehana kwa styl kama hyo! Dunia yenyewe ya cameron hii!!
Kaka kwa ushauri piga chini tuu!
Tafta mwingine! ..... Magonjwa kaka!
 
lol...... asanteee.
 
Kwan hiyo sms ilikuwa inasemaje?

Ingependeza zaidi kama hiyo sms nayo ingewekwa hapa ili uweze kupewa ushauri mzuri zaidi.Ila all in all uamuzi wa kusuka au kunyoa bado uko mikononi mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…